HabariPilipili FmPilipili FM News

Maajenti Wa Jubilee Ambao Hawakujitokeza Kuadhibiwa

Waziri wa utalii , Najib Balala ameasema maajenti wa Jubilee ambao hawakufika kwenye vituo vya kupigia kura watachukuliwa hatua kisheria.
Balala amesema kati ya maajenti 900, takriban asilimia 5 ya maajenti hawakujitokeza katika vituo kadhaa vya kupigia kura hasa katika maeneo bunge ya Mvita , Kisauni na likoni.
Hata hivyo , Balala ameonyesha matumaini ya Jubilee kupata kura ya asiulimia 90.1 ifikiapo mwisho wa zoezi hili, licha ya watu kujitokeza kwa idadi ndogo ikilinganishwa na wakati wa uchaguzi wa Agosti.

Show More

Related Articles