HabariPilipili FmPilipili FM News

Usalama wa Imarishwa Mombasa.

Hali ya usalama imeiamarishwa katika vituo vingi vya kupiga kura ili kuhakikisha kila mwananchi anapata nafasi ya kutekeleza wajibu wake wa kidemokrasia.
Kamanda wa polisi kaunti ta Mombasa Johnston Ipara amewahakikishia wakazi wa Mombasa na viunga vyake usalama wa kutosha wakati huu ambapo zoezi la uchaguzi linaendelea

Show More

Related Articles