HabariMilele FmSwahili

Waziri Wamalwa awataka wakenya kupuuza shinikizo za NASA na kujitokeza kupiga kura

Waziri wa maji Eugine Wamalwa amewataka wakenya kupuuza shinikizo za NASA kuwataka kususia uchaguzi wa leo badala yake kujitokeza na kumchagua rais wao. Akiongea baada ya kupiga kura katika kituo cha Kitale town hall mjini Kitale kaunti ya Trans Nzoia, Wamalwa amesema ni haki ya kila mkenya kupiga kura huku akielezea imani ya zoezi hilo kuendelea bila tatizo

Show More

Related Articles