HabariPilipili FmPilipili FM News

Matiangi Ahakikishia Wa Kenya Usalama Wa Kutosha

Kaimu waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang’I amewahakikishia wananchi kuwa hali ya usalama iko shwari katika maeneo yote ya nchi.
Akiongea mda mfupi baada ya kupiga kura yake katika kaunti ya kisiii Matiang’I amewataka wananchi kujitokeza bila wasiwasi akisema maafisa wa usalama wanashika doria kuhakikisha uchaguzi wa leo unafanyika bila dosari

Show More

Related Articles