HabariPilipili FmPilipili FM News

Idadi Ndogo Ya Wapika Kura ya Shuhudiwa Katika Ukanda Wa Pwani.

Idadi ndogo ya wakaazi wanaojitojeza kupiga  kura za marudio ya urais hii leo inaendelea kushuhudiwa katika vituo vingi vya kupigia kura eneo bunge la matuga kaunti ya kwale.

Hali hiyo ni tofauti na ilivyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi wa agosti8.Kufikia sasa Baadhi ya vituo havina waangalizi wa uchaguzi kabisa wala maajenti wa vyama. Eneo bunge la matuga liko na jumla ya wapiga kura elfu 70,366 na jumla ya vituo 153.

Vituo vya kupigia kura  vimefunguliwa mwendo wa saa kumi na mbili japo shughuli hiyo inaendelea kwa mwendo wa kinyonga.

 

 

Show More

Related Articles