HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mtu 1 afariki Migori kwenye fujo wakati wa kusafirisha vifaa vya kura

Mtu mmoja anasemekana kufariki na wengine kujeruhiwa katika kaunti ya Migori baada ya ghasia kuzuka wakati wa usafirishaji wa vifaa vya upigaji kura.

Mbali na hayo matayarisho yamekamilika katika baadhi ya kaunti nchini.

Aidha vifaa vitakavyotumika katika uchaguzi vimewasilishwa katika vituo mbalimbali vya upigaji kura.

Show More

Related Articles