HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mahakama ya Upeo yashindwa kusitisha uchaguzi wa Alhamisi

Uchaguzi wa marudio ya urais sasa utafanyika hapo kesho kama ulivyoratibiwa, baada ya Mahakama ya Upeo kushindwa kusikiliza kesi iliyowasishwa kupinga kufanyika kwa uchaguzi huo, kwa kukodsa idadi ya majaji wanaohitajika kikatiba.

Kati ya majaji saba wa mahakama hiyo ya upeo, ni Jaji Mkuu David Maraga pekee aliyefika katika ukumbi wa mahakama.

Mawakili wa NASA wakiongozwa na James Orengo wametilia shaka sababu zilizotolewa kwa majaji kukosa kufika mahakamani.

Show More

Related Articles