HabariPilipili FmPilipili FM News

Uchaguzi Utaendelea Kama Ilivyo Ratibiwa.

Mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati amesema uchaguzi wa marudio ya urais utaandaliwa kesho kama ilivyopangwa.

Akihutubia wanahabari katika ukumbi wa Bomas Nairobi, Chebukati amesema mikakati yote imekamilika kuhakikisha uchaguzi huo unaandaliwa kuanzia saa kumi na mbili kesho asubuhi.

Adha ameonya polisi kukomesha utumiaji wa nguvu kupita kiasi dhidi ya wananchi.

 

Show More

Related Articles