HabariPilipili FmPilipili FM News

Kingi Ataka Serikali kuheshimu Maafisa wakuu Katika Ngazi Za Kaunti.

Gavana wa kilifi Amason Kingi amekashifu hatua ya maafisa wa polisi kumshika na kumzuilia kwa mda pale alipoenda kuangazia zoezi la ugavi wa chakula eneo la ngerenya huko kilifi.
Kingi ameitaka serikali ya kitaifa kuwa na ushirikiano mzuri na serikali za kaunti, ikiwemo kuheshimu maafisa wakuu katika ngazi za kaunti.

Show More

Related Articles