HabariPilipili FmPilipili FM News

Mahakama ya Upeo Ya hairisha Uamuzi wake.

Mahakama ya upeo imeahirisha maamuzi yake leo kuhusu kesi nne zinazo zingira uchaguzi wa marudio.
Jaji mkuu nchini David Maraga amesema mahakama ya upeo haiwezi kusikiza na kufanya maamuzi katika kesi hiyo  ikizingatiwa kuwa majaji 5 kati ya 7 wa mahakama ya juu hawakufika mahakamani.
Kulingana na Maraga mahakama ya upeo haiwezi kuendelea na kesi bila kuwepo idadi hitajika ya majaji kisheria.

Show More

Related Articles