HabariMilele FmSwahili

Kundi la kina mama lashiriki maandamano ya amani kuhimiza amani

Akina mama wa tabaka mbalimbali wameshiriki maandamano ya amani yalioishia nje ya mahakama ya juu Nairobi. Akina mama hao wamehimiza amani miongoni mwa wakenya saa chache kabla ya taifa kushiriki marudio ya uchaguzi. Wamewataka wanasiasa kukoma kuwachochea wafuasi wao

Show More

Related Articles