HabariPilipili FmPilipili FM News

Marwa Aonya viongozi Wa Mrengo Wa NASA Pwani

Serikali Imetoa onyo Kali kwa Viongozi wa mrengo wa NASA ukanda wa pwani dhidi ya kuongoza maandamano hio kesho wakati kura ya marudio ya urais inatarajiwa kufanyika.

Mshirikishi wa Serikali kuu kanda ya pwani Nelson Marwa anasema Serikali haitamsaza yeyote atakaye jaribu kuvuruga zoezi la uchaguzi wa marudio hususana eneo hili la pwani.

Show More

Related Articles