HabariMilele FmSwahili

Wafuasi wa NASA wakongamana katika bustani ya Uhuru licha ya agizo la polisi

Wafuasi wa NASA wameanza kukongamana katika bustani ya Uhuru kwa mkutano wao wa hadhara licha ya kamanda wa polisi wa Nairobi Japheth Koome kusema NASA haijawasilisha ombi lao kwa serikali ya kaunti kupata idhini ya mkutano huo, mkutanounaonekana utaendelea kama ulivyoratibiwa. Wakati huo mkuu wa usalama  Mombasa Nelson Marwa amepiga marufuku maandamano yoyote kaunti hiyo  kesho akisema watakaoshiriki watakabiliwa.

Show More

Related Articles