HabariMilele FmSwahili

Salat alahumu mahakama kwa sintofahamu ya kisiasa nchini

Mahakama ya juu ndio ya kulaumiwa kutokana na sintofahamu ya kisiasa inayoshuhudiwa nchini wakati huu. Katibu wa KANU Nick Salat anasema lilikua jukumu la mahakama hiyo kutoa mwelekeo jinsi marudio ya uchaguzi wa urais yangeandaliwa pindi tu baada ya kubatili matokeo ya urais. Hata hivyo anasisistiza, rais Uhuru Kenyatta atasalia afisini bila kujali mwelekeo utakaochukuliwa na mahakama hiyo hii leo.

Show More

Related Articles