HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Nauli yapunguzwa au kuondolewa kwa baadhi ya ngome za Jubilee

Huku wakenya wakitarajiwa kurejea debeni Alhamisi wiki hii, vyama mbalimbali vya ushirika vinavyomiliki magari ya abiria vitapunguza nauli ya usafiri kuanzia Jumanne haswa kuelekea maeneo yanayodhaniwa kuwa ngome ya chama cha Jubilee.

Nauli kuelekea maeneo mengine aidha zimeongezeka maradufu huku idadi kubwa ya wakenya wakielekea maeneo ya mashinani.

Show More

Related Articles