K24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Kutana na fundi wa pikipiki asiye na uwezo wa kusikia

Je, wajua kuwa kuna baadhi ya walemavu ambao hutumia ulemavu wao kuwa ombaomba, ili wanase huruma za wapita njia?

Licha ya hilo, kuna wengine, ambao japo ya ulemavu, kamwe hutawaona wakiomba, wao hujibidiisha vilivyo kusaka riziki.

Kutana na Alex Kipkurui kutoka kaunti ya Baringo, ambaye japo hasikii, ni fundi stadi mno wa pikipiki, huku akipata nafasi ya kuwa fundi kwenye eneo moja la kukarabati pikipiki.

 

Show More

Related Articles