HabariMilele FmSwahili

Nauli ya magari ya umma kupunguzwa siku ya Alhamisi

Muungano wa wamiliki matatu umetangaza kupunguza nauli ya magari siku ya Alhamisi kurahisisha usafiri wa wakenya wanaoelekea mashambani kupiga kura. Mwenyekiti Samuel Kimutai, anasema nauli hiyo itapunguzwa siku hiyo ili kuwawezesha wakenya wengi kushiriki haki yao ya uchaguzi.Wakongwe nao hawatolipishwa nauli siku hiyo

Show More

Related Articles