HabariMilele FmSwahili

Serikali yatangaza kesho kuwa siku kuu ya kitaifa

Serikali imetangaza kesho Jumatano tarehe 25 Oktoba kuwa siku kuu ya kitaifa. Kupitia ilani katika gazeti la kitaifa kaimu waziri wa usalama Dkt Fred Matiangi amesema hatua hiyo imechukuliwa kuwapa wakenya fursa ya kujiandaa kushiriki upigaji kura katika uchaguzi wa marudio wa urais siku ya Alhamisi.

Show More

Related Articles