HabariMilele FmSwahili

Waandamanaji watatiza shughuli za kawaida mjini Kisumu

Shughuli za kawaida zimeathirika mjini Kisumu baada ya waaandamanaji kuwasha tairi na kufunga bara bara katika maeneo ya Mamboleo, Car wash na Kondele mjini Kisumu. Waandamanaji hao pia wameripotiwa kufunga bara bara katika eneo la Kibuye. Hii ni baada ya NASA kuitisha maandamano makubwa kuanzia leo kushinikiza kutoandaliwa kura ya marudio ya urais nchini.

Show More

Related Articles