HabariMilele FmSwahili

Polisi watawanya waandamanaji wa NASA jijini Nairobi

Polisi wamewatawanya kwa vitoa machozi kundi la wafuasi wa NASA waliokuwa wamekusanyika katika barabara ya Tom Mboya hapa jijini Nairobi. Usalama umeimarishwa hapa jijini kuzuia maandamano hayo. Wafuasi wa NASA wanatarajiwa kurejelea maandamano yao kushinikiza kufutiliwa mbali uchaguzi wa urais Alhamisi wiki hii yanarejelewa leo. Wakuu wa muungano huo wanasema maandamano yanayoanza leo yataendelea hadi ambapo malalamishi yao yataangaziwa na tume ya uchaguzi na mipaka.

Show More

Related Articles