HabariMilele FmSwahili

Zoezi ya kusaka miili 3 ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ziwa Nakuru kuendelea leo

Zoezi la kusaka miili zaidi ya wahanga wa ajali ya ndege katika ziwa Nakuru inatarajiwa kuendelea leo. Hii ni baada ya waokoaji kufanikiwa kupata miili miwili jana. Miili miwili tayari imetambulika kuwa ya rubani Apollo Mlowa na wa Antony Kipyegon. Ndege hiyo aina ya helikopta ilianguka katika ziwa Nakuru Jumamosi iliyopita ikiwa na watu watano waume wanne akiwemo rubani na mwanamke mmoja.

Show More

Related Articles