HabariMilele FmSwahili

Seneta Fred Outa na Ruth Odinga waachiliwa kwa bondi ya nusu milioni

Seneta wa Kisumu Fred Outa na aliyekuwa naibu gavana Ruth Odinga wameachiliwa kwa bondi ya nusu milioni baada ya kufikishwa katika mahakama ya Kisumu. Wawili hao wanakabiliwa na mashtaka ya kutatiza zoezi la kutoa mafunzo kwa maafisa wa IEBC. Wawili hao wamefikishwa kotini baada ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma Keriako Tobiko kuagiza kuwa wana kesi ya kujibu.

Show More

Related Articles