HabariPilipili Fm

Elachi Aitaka IEBC Kuweka Wazi Mikakati Ya Uchaguzi

Spika wa bunge la kaunti ya Nairobi Beatrice elachi anamtaka mwenyekiti wa IEBC  wafula Chebukati  kueleza  wakenya mikakati kamili ya uchaguzi wa alhamisi kabla ya wakenya kushiriki uchaguzi huo.

Akizungumza huko Matuga kaunti ya kwale katika ziara ya kampeni za jubilee Elachi amesema sintofahamu inayoshuhudiwa  miongoni mwa makamishna wa tume ya IEBC imeleta wasiwasi  kwa wananchi.

 

 

Show More

Related Articles