HabariMilele FmSwahili

Tobiko aagiza kukamatwa kwa Seneta Fred Outa na Ruth Odinga

Mkugenzi wa mashitaka ya umma Keriako Tobiko ameagiza kukamatwa na kushitakiwa seneta wa Kisumu Fred Outa na aliyekuwa naibu gavana wa Kisumu Ruth Odinga kuhusiana na kuvugwa mikutano ya mafunzo ya maafisa wa IEBC kaunti hiyo wiki iliyopita. Katika barua Tobiko amemwagiza mkurugenzi wa jinai Ndegwa Muhoro kuwafungulia mashitaka wawili hao kwa tuhuma za kuingili mkutano huo bila idhini na kuchochea umma na kuhusika katika uharibiifu wa mali ya IEBC.

Show More

Related Articles