HabariMilele FmSwahili

Viongozi wa NASA wazidi kushinikiza Chebukati kujiuzulu

Viongozi mbalimbali wa muungano wa NASA wanazidi kushinikiza mwenyekiti wa tume ya IEBC Wafula Chebukati kujiuzulu. Mbunge wa Kiminini Chris Wamalwa,  anadai Chebukati hana budi kuchukua hatua hiyo kutokana na shinikizo zinazoweza kuathiri maandalizi ya uchaguzi huru.

Show More

Related Articles