HabariMilele FmSwahili

Watahiniwa wa KCSE kuanza mtihani wa “practicals” leo

Watahiniwa wa KCSE wanatarajiwa kuanza mtihani wa “practicals” leo chini ya masharti makali yaliyowekwa na waziri wa elimu Dkt Fred Matiangi. Ni mtihani unaoanza siku 2 pekee kabla ya kufanyika uchaguzi wa marudio unaokabiliwa na utata. Mtihani rasmi wa KCSE unatarajiwa kuanza tarehe 6 mwezi Novemba na kukamilika tarehe 29 mwezi huo. Awali kulikuwa na hofu kuwa huenda maandalizi ya uchaguzi huo yakahitilafiana na mitihani ya KCSE na KCPE.

Show More

Related Articles