HabariK24 TvSwahiliVideos

Jepkosgei avunja rekodi yake ya Half Marathon nchini Uhispania

Imekuwa ni historia ya  aina yake na ya kipekee baada ya Mkenya Joycilline Jepkosgei kuweka rekodi mpya kwa kuivunja rekodi yake katika mashindano ya Valencia Trinidad Half Marathon hii leo nchini Uhispania.

Jepkosgei ameivunja rekodi yake kwa kuishusha kwa sekunde moja kwa kutumia muda wa saa 1 dakika 4 nukta 51 ikilinganishwa na yake ya awali ya saa 1 dakika 4 nukta 52.

http://https://www.youtube.com/watch?v=R3G1prLu5j4

Show More

Related Articles