K24 TvNEWSSwahiliVideos

Mwanawe mmiliki wa kampuni ya Bobmills auawa na majambazi

Wezi wa kimabavu waliojifanya kuwa maafisa wa polisi hii leo walivamia makazi ya mmiliki wa kampuni ya kutengeza godoro ya Bobmill na kumuua mwanawe wa kiume kwa kumpiga risasi.

Marehemu aliaga dunia punde tu alipofikishwa katika hospitali ya MP-Shah.

Show More

Related Articles