K24 TvNEWSSwahiliVideos

Rai Mwilini: Kuufahamu ugonjwa wa “Endometriosis”

Uchungu wakati wa hedhi ni kawaida kwa wanawake wengi, lakini uchungu huo unapokuwa kabla, wakati na hata baada ya hedhi basi kuna sababu ya kuwa na hofu.

Hali hii hufahamika kwa kimombo kama endometriosis na huathiri zaidi ya wanawake milioni 170 duniani.

Wiki hii katika makala ya rai mwilini mwanahabari wetu Grace Kuria alimtembelea mwanahabari Njambi Koikai anayeugua hali hii na kuandaa makala yafuatayo.

Show More

Related Articles