K24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ar na Ukakamavu : Bidii ya msanii na mtumbuizaji anayeibuka, MC Kamau

Hii leo kwenye makala ya Ari na Ukakamavu tunamwangazia MC Kamau, kijana ambaye mbwembwe zake za utumbuizaji huwaacha wengi wakiangua kicheko.

Wakati mwingi utampata kijana huyu mitaani akiwatumbuiza wananchi.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga naye na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles