HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Kituo cha polisi alichoita nyumbani Iddi Amin kaunti ya Nyeri

Huku tukisherehekea sikukuu ya Mashujaa kote nchini, fahamu mengi kuhusu kituo kimoja cha polisi katika kaunti ya Nyeri kilichotumika kuwatesa Mashujaa wa uhuru wakati wa kupigania Uhuru wa taifa.

Wasilolijua wengi ni kuwa kituo hicho hicho kilikuwa nyumbani kwake aliyekuwa rais wa Uganda Idd Amin Dada.

 

Show More

Related Articles