HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Watu 9 wameripotiwa kufariki eneo la Tirioko kaunti ya Baringo

Watu tisa wameripotiwa kufariki katika eneo la Tirioko eneo bunge la Tiati kaunti ya Baringo, kufuatia mkurupuko wa ugonjwa wa malaria.

Mkurupuko huo unadaiwa kutokea baada ya mvua ya masika kunyesha katika eneo hilo na kusababisha mafuriko yaliyochangia mazingira bora kwa mbu kuzaana .

https://www.youtube.com/edit?o=U&video_id=FMSerLXEVnc

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.