K24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Mgaagaa na upwa: Kundi la vijana wanaotumia viatu kuu kuu kupanda maua,Nairobi 

Viatu vikizeeka nyumbani wengi hufikiria kwamba huo ndio mwisho.

Kutana na kundi la vijana, katika barabara ya Mamlaka hapa jijini Nairobi, ambao hutumia bidhaa kuukuu kutengeneza vyombo maridadi vya kuweka maua ya kurembesha nyumba .

Basi kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii, Joab Mwaura anamwangazia Simon Karukwa.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.