K24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu: Msanii ‘David Wonder’ ambaye ameshirikiana na gwiji Bahati

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu wiki hii tunamwangazia Msanii David Odera almaarufu David Wonder ,kijana aliye na umri wa miaka 21 ambaye sifa zake zinaenea kote nchini kutokana na kipawa chake cha muziki.

Wonder amefanya ushirikiano na msanii tajika ,Bahati ,kwenye kibao chao [ndogondogo].

Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga na msanii huyu na kutuandalia taarifa hii.

https://www.youtube.com/watch?v=IrQEjn2BzmM

Show More

Related Articles

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published.