HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

Ari na Ukakamavu : Msanii Winstone Kiarie anayefahamika kama Stonee Jiwe

Kwenye makala ya Ari na Ukakamavu tunamwangazia msanii Winstone Alfred Kiarie , anayefahamika kwa jina la usanii kama (Stoni Jiwe. ) Huyu ni kijana aliyejitosa kwenye sanaa ya muziki akiwa katika shule ya upili na kupitia ile ari yake ameweza kuzitunga nyimbo ambazo zimeweza kuvuma hapa nchini na kote duniani.
Mwanahabari wetu Kimani Githuku alijiunga na Stoni Jiwe na kutuandalia taarifa hii.

Show More

Related Articles