HabariMilele FmSwahili

IEBC kutangaza matokeo ya urais baada ya kujumuisha matokeo yote

Tume ya IEBC inasema kinyume na ilivyokwua, itaweka tu wazi matokeo ya urais baada ya kujumlisha matokeo yote kutoka vituo vya kupiga kura. Tume hiyo aidha inasema itatii sheria katika mchakato wa kutangazwa matokeo ya uchaguzi. Afisa mkuu mtendaji Ezra Chiloba akisema hakuna matokeo ya maeneo bunge yatayotangazwa katika kituo cha kitaifa cha kumumlisha kura. Wakati huo IEBC imetangaza ifikiapo mwishoni mwa juma hili, awamu ya kwanza ya karatasi za kura ya urais zitaanza kuwasili nchini

Show More

Related Articles