HabariMilele FmSwahili

Oparesheni za kiusalama kuendelea kaunti za Baringo na Laikipia

Oparesheni za kiusalama zinazoendelea kaunti za Baringo na Laikipia hazitositishwaa wakati wa uchaguzi. Kaimu waziri wa usalama wa ndani Dkt Fred Matiangi anasema oparesheni hizo zitapigwa jeki zaidi kuwakabili wahusika wa utovu wa usalama. Matiangi ameshikilia kauli atatekeleza jukumu lake kuambatana na sheria na kuwa hatosita kushauriana na IEBC mara ka mara ili kuhakikisha uchaguzi unaadaliwa kwa njia salama.

Show More

Related Articles