HabariK24 TvMakalaSwahiliSwahili VideosVideos

MGAAGAA NA UPWA : Kijana aliyejitosa kwenye sanaa ya uchoraji kwa kukosa kazi

Kupata ajira nchini ni tatizo kubwa hasaa kwa vijana. Hata wale walio na shahada hukosa ajira.
Basi ndivyo ilivyokuwa kwake James Kimathi, ambaye japo amesoma, alitafuta ajira kwa miaka mitatu na kukosa.
Hata hivyo hakufa moyo, aliamua kuwa msanii hasaa wa kuchora, na miaka kadhaa baadaye, ni jamaa aliye na kampuni ya kuchora, ambayo imempta riziki.
Kwenye makala ya Mgaagaa na Upwa wiki hii, Njoki Kihiu anamwangazia msanii huyu.

Show More

Related Articles