Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Raila aongoza kampeni Embu,Tharaka Nithi na Meru

Muungano wa NASA umeendeleza kampeini zake katika kaunti tatu za Meru,Tharaka Nithi na Embu eneo la mlima Kenya katika jitihada za kusaka kura katika eneo hilo.
Wakiongozwa na anayewania urais kwa tiketi hiyo Raila Odinga, vinara hawa wamesisitiza kuwa muungano wa NASA ndio utakaoleta mabadiliko yanayomezewa mate ikilinganishwa na jubilee katika eneo la mlima kenya.
Daniel Kariuki yuko kwenye msururu wa kampeini za NASA na anatuandalia taarifa hiyo kutoka Meru.

Show More

Related Articles