Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Jubilee wasaka kura Mlima Kenya,Bonde la Ufa na Magharibi

Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto wanatarajiwa kufanya mikutano ya kampeni katika vituo mia nne kwa muda wa siku kumi na mbili zijazo, kuwaomba wakenya kura Agosti nane.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka msemaji wa urais Manoah Esipisu, wawili hao wanatarajiwa kuzuru kaunti thelathini kwa muda huo, hii leo wakiwa wamekita kambi katika kaunti saba.
Kiama Kariuki aliandamana na msafara wa kampeini ya rais Kenyatta katika kaunti za Nyeri na Murang’a na kutuandalia taarifa hii.

Show More

Related Articles