Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Idara ya polisi yazindua helikopta mpya kuimarisha usalama

Kaimu waziri wa usalama Fred Matiang’i kwa mara nyingine amesisitiza kwamba kenya iko tayari kwa uchaguzi mkuu wa Agosti 8 siku kumi na tatu kutoka sasa.
Kwa mujibu wa Matiang’i,vitengo mbalimbali vya usalama vimepokea mafunzo ya kutosha kudumisha amani wakati wa uchaguzi na hata baada ya uchaguzi.
Aidha,ndege mpya iliyowasili katika uwanja wa ndege wa Wilson itatumika na maafisa wa usalama katika kutoa huduma za dharura kokote nchini.

Show More

Related Articles