HabariMilele FmSwahili

Raila apuuza madai kwamba kanda ya mlima kenya ni ngome ya jubilee

Kinara wa NASA Raila Odinga amepuuza madai kanda ya mlima Kenya ni ngome ya Jubilee akiwoamba wenyeji kumpigia kura kuliongoza taifa. Akiwahutubia wenyeji wa Embu, Raila ameelezea imani ya kupata kura kutoka kwa wenyeji wa mlima Kenya akihaidi kuwhaudumia wakenya wote bila mapendeleo. Raila amesema lengo la NASA baada ya kuingia uongozini ni kuitekeleza manifesto yao anayosema inanagazia maslahi ya wakenya wote.

Show More

Related Articles