HabariMilele FmSwahili

Polisi Eldoret waanzisha uchunguzi baada ya vijikaratasi vyenye ujumbe wa vitisho kupatikana

Polisi mjini Eldoret wameanzisha uchunguzi baada ya kupatikana vijikaratasi vyenye ujumbe wa vitisho kwa jamii moja eneo la Munyaka. Inadaiwa vijikaratasi hivyo vinatishia kuihamisha kwa lazima jamii hiyo iwapo haitampigia kura gavana Mandago kwenye uchaguzi mkuu ujao. Hata hivyo gavana Mandago amejitenga na kuhusika kusambaza vijikatarati hivyo.

Show More

Related Articles