HabariMilele FmSwahili

Raila akosoa Rais kwa kususia mdahalo wa wagombea urais

Kinara wa NASA Raila Odinga sasa anamkosoa Rais Uhuru Kenyatta kwa kususia mdahalo wa wagombea urais jana. Akiwahutubia wenyeji wa Embu Raila anasema hatua ya rais ni ishara ya kuogopa upinzani ambao kulinga naye utaibuka na ushindi Agosti nane. Raila na kigogo mwenza Moses Wetangula wameahidi kufufua sekta ya kilimo eneo la mashariki ya juu mwa taifa iwapo watatwaa uongozi

Show More

Related Articles