HabariMilele FmSwahili

Idara ya polisi yapokea Helikopta 2 mpya za usalama

Kaimu waziri wa usalama wa ndani Dr Fred Matiangi ametetea ushirikiano wake na tume ya IEBC kuhakikisha uchaguzi mkuu ujao unaandaliwa kwa mujibu wa sheria. Matiangi amepuuza madai ya upinzani kuwa ananuia kushawishi utendakazi wa IEBC. Akizungumza baada ya kupokea helikopta mbili za usalama Matiangi ametoa hakikisho kuwa taifa litasalia salama kabla wakarti na baada ya uchaguzi.
Kwa upande wake inspekta jenerali wa polisi Joseph Boinnet ambaye aliambatana na Matiangi, anasema idara hiyo imejiandaa kuahkikisha usalama unaimarishwa arhdini na angan kabla, wakati na baada ya uchaguzi

Show More

Related Articles