MichezoMilele FmSwahili

Timu ya taifa ya voliboli wanaume yailaza Rwanda kufuzu mashindano ya dunia

Timu ya taifa ya voliboli wanaume imefuzu mashindano ya dunia na pia yale ya Bara Afrika hii ni baada ya kuamaliza uongozini mwa jedwali la dimba la kufuzu kushiriki michuano hiyo , michuano iliyokamilika hapo jana.

Kenya waliwapiga wenyeji Rwanda seti 4-1 usiku wa kuamkia leo na kupanda hadi kileleni mwa jedwali hilo.

Kocha wa vijana hao bwana epoloto amekishukuru kikosi chake kwa kazi nzuri walioifanya dhidi ya Rwanda. Kenya walianza dimba hilo visivyo kwa kupoteza dhidi ya Uganda ila walirejea dhidi ya south sudan ambapo waliwapiga seti 3-0.

Rwanda wamemaliza nambari mbili , Uganda nambari tatu huku south sudan wakimaliza wamwisho.

Show More

Related Articles