HabariMilele FmSwahili

Hatua ya Rais kutohudhuria mdahalo wa urais yatetewa na viongozi wa Jubilee

Viongozi wa chama cha Jubilee wametetea hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kutohudhuria mdahalo wa wagombeaji urais ulioandaliwa jana. Mshirikishi wa kampeni ya urais ya chama cha Jubilee kaunti ya Nairobi Agness Ibara anasema Rais Kenyatta tayari amekutana na wakenya na kufafanua ajenda yake katika maeneo mbali mbali nchini. Pia amerejelea msimamo wa chama cha Jubilee kuwa chama hicho hakikupata maelezo kikamilifu kuhusiana na maandalizi ya mjadala huo.

Show More

Related Articles