HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Mwalimu mkuu ajitwika jukumu la kuwapa dawa wanafunzi Kilifi

Kwa kawaida ni jukumu la wazazi kuhakikisha kuwa wanao wamepata dawa za kumaliza minyoo anaglau kila baada ya miezi mitatu.
Lakini katika eneo la Ganze kaunti ya Kilifi mwalimu mkuu mmoja amejitwika jukumu la kuhakikisha kuwa wanafunzi wa shule yake wamepata dawa za kumakliza minyoo,,,na magonjwa mengine yanayotokana na maji chafu.
Hivyo kila siku moja kwa muhula wananfunzi husitisha masomo ya jioni ilikushiriki zoezi muhimu la kunywa dawa ilikupambana na mimnyoo na ugonjwa wa bilahazia.
Nancy Onyancha alizuru shule hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Show More

Related Articles