HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Magavana walaumiwa kwa kutotilia maanani mahitaji ya wauguzi

Naibu katibu mkuu wa muungano wa wauguzi Maurice Opetu ameshutumu magavana kwa kutotilia maanani mgomo wa wauguzi leo ikiwa siku hamsini.
Hii ni baada ya mazungumzo baina ya muungano wa wauguzi na baraza la magavana kutofua dafu Alhamisi ilioyopita .

Show More

Related Articles