Elections 2017HabariK24 TvSwahiliSwahili VideosVideos

Naibu Rais azuru Nakuru, Kakamega na Teso

Naibu rais William Ruto ameendeleza kampeni za chama cha Jubilee kwa kuzuru kaunti za Nakuru, Kakamega na Teso leo.
Kwenye ujumbe wake kwa wafuasi wa Jubilee na wakenya kwa jumla, Ruto ameshikilia msimamo wa kuwa uchaguzi wa Agosti tarehe nane ni lazima utimie.
Amezungumzia pia suala zima la msukumo wa serikali ya Jubilee wa kuhakikisha kuwa pande zote za taifa hili zinapiga hatua kimaendeleo.

Show More

Related Articles